Posts

JAMIE VARDY ASHIKWA UCHAWI KWA KUFUKUZWA KWA RANIERI AAMBIWA NDIE ALIECHOMA AFUKUZWE

Image
                                               BLOG NO 1 TANZANIA !! MIEZI tisa tu iliyopita kulikuwa na raha kubwa pale Leicester, lakini sasa kimenuka. Ni mwendo wa kumtafuta mchawi tu baada ya kufukuzwa kwa kocha aliyeipa ubingwa, Claudio Ranieri siku tatu zilizopita. Inasemekana baadhi ya wachezaji wa Leicester City walikuwa na kauli kubwa iliyotoa shinikizo kwa mmiliki wa Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha pamoja na mwanaye ambaye ni Makamu Mwenyekiti, Aiyawatt Srivaddhanaprabha kumfukuza kazi Muitaliano huyo. Mmoja kati ya wachezaji wanaotajwa kuwa nyuma ya kufukuzwa kwa Ranieri ni mshambuliaji mahiri wa timu hiyo, Jamie Vardy ambaye msimu uliopita alifunga mabao 24 yaliyosaidia kwa kiasi kikubwa kuipa ubingwa Leicester. Mwingine ni kipa wa timu hiyo, ...

Lori Laporomoka Mlimani, Laua Wafanyabiashara 6 Na Kujeruhi 12

Image
                                             BLOG NO 1 TANZANIA !!

BAADA YA MIAKA 53 HATIMAYE WANANCHI WA MTAA WA IGUNGANDEMBWE MANISPAA YA IRINGA WAPATA MAJI SAFI NA SALAMA

Image
                                               BLOG NO 1 TANZANIA !!

Hashim Rungwe Amjulia Hali Godbless Lema Gerezani

Image
                                                  BLOG NO 1 TANZANIA !! Mwenyekiti  wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chauma), Hashim Rungwe, amemtembelea Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Lema (Chadema), ambaye   bado yuko mahabusu katika Gereza la Kisongo mkoani Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari  mjini Arusha jana baada ya kuonana na mbunge huyo, Rungwe alisema baadhi ya matatizo yanayotokea kwenye jamii yanasababishwa na baadhi ya watawala. Alisema hali hiyo imekuwa ikiibua chuki miongoni mwa wananchi   jambo ambalo si zuri na linahitaji kukemewa. Kiongozi huyo alimtembelea Lema    akiwa  amefuatana  na viongozi mbalimbali akiwamo Makamu Mwenyekiti wa Chauma, Kayumbo Kabutali  na wabunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare na Moshi Vijijini, Antony Komu,  wote wa Chadema “Hi...

WACHAWI MAREKANI WAUNGANA KUMUONDOA TRUMP MADARAKANI KANISA LAINGILIA KATI VITA HIO FUATILIA HABARI HIO HAPA!!

Image
                                              BLOG NO 1 TANZANIA !!

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU TAREHE 27 FEB 2017

Image
                                                   BLOG NO 1 TANZANIA !!

AUDIO !! GWAJIMA: NINA VYETI VYA MAKONDA VYA JINA LAKE LA DAUDI BATISHE NA ALIFELI HILO MAKONDA NI LA VYETI

Image
                                                      BLOG NO 1 TANZANIA !! Askofu Gwajima asema RC Makonda alimtaja kwenye orodha ya dawa za kulevya kwa nia ya kumchafua ili 2020 asiweze kugombea ubunge Misungwi.