BREAKING NEWS!! MAHAKAMA YATUPILIA MBALI RUFAA YA SERIKALI LEMA KUPEWA DHAMANA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA!!

                                              BLOG NO 1 TANZANIA !!

Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali mapingamizi (rufaa) ya Serikali dhidi ya maamuzi ya Mahakama Kuu kwa msingi kwamba hayana mashiko na kuiagiza Mahakama Kuu kuendelea na utaratibu wake wa kutoa haki ya dhamana mapema iwezekanavyo!
Kutoka kushoto (viongozi wa CHADEMA): Mwenyekiti Mkoa wa Arusha, Amani Golugwa; Katibu Mkuu Vincent Mashinji, Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe na Katibu wa Mkoa wa Arusha Kalisti Lazaro.


Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU

Hii hapa ratiba ya michuano yote mikubwa ya leo hii,Shirikisho,Epl,La Liga,Bundesliga na Seria A