**habari24radio** WK END MIX INAENDELEA NOW BONYEZA LINK UPATE BURUDANI!!
KIPINDI HOT CHA MUSIC KATIKA UKANDA HUU WA AFRICA MASHARIK NA KATI
Kipindi ambacho kinaongoza kufuatiliwa na mashabiki zinapigwa ngoma mfululizo maongezi 0%
kinaendelea now kuanzia saa 2 usiku mpaka kunakucha zinapigwa ngoma za Disco inamaana haina haja ya kwenda kwenye eneo la Burudani kwa kua burudani unaweza ukaipata nyumbani kwako nunua vinywaji unganisha simu yako kwenye Sobwoofer yako au kwenye Radio yako ule ngoma au chukua ear phone yako fungulia hadi mwisho upate burudani kwa asilimia 100 na nyuma ya mashine kaka mkubwa GK HIM SELF ntakua nasababisha hii ni Redio yenu wapenzi wa blog hii endeleeni kuipa sapot kama mnavyoipa blog yenu pendwa


Comments
Post a Comment