Mbunge wa Babati mjini kwa tiketi ya Chadema mh. Pauline amepata ajali
Mbunge wa Babati mjini kwa tiketi ya Chadema mh. Pauline amepata ajali na hali yake inaendelea vizuri.
Habari ya tukio hili tutawaletea kesho baada ya mwandishi wetu kutuletea habari yote iliyokamilika


Comments
Post a Comment