Tunaomba radhi kwa kuchelewa kuwapatia habari kutokana na hitilafu za umeme
TUNAOMBA RADHI KWA KUCHELEWA KUWALETEA HABARI
HABARI24HRS inaomba radhi wapenzi wasomaji wa blog pendwa ya TANZANIA HOT NEWS pamoja
na Radio ya Habari24radio kutokua hewani kwa muda hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu kulikua na hitilafu za umeme toka jana eneo ilipo office zetu hata hivyo Tanesco wamefanya kadri ya uwezo wao wamefanikiwa kuweka mambo sawa na sisi tunaingia mzigoni kwa nguvu zote kuhakikisha unapata habari na unapata kile unachokihitaji nashukuru kwa uvumilivu wenu kwetu
Comments
Post a Comment