Yusuph Manji akimbizwa na Ambulance kutoka polisi alipoenda kwa mahojiano tangu Alhamisi.
Gari iliyombeba ili ishia hospitali ya taifa Muhimbili na gari lake binafsi limeonekana kituo cha moyo cha Jakaya Kikwete
Mfanyabiashara Yusuph Manji amekimbizwa kutoka kituo cha polisi na gari la wagonjwa alikoenda kwa mahojiano tangu Alhamisi. Gari lililombeba limeonekana kuishia kituo cha dharura kwa wagonjwa cha hospitali ya Taifa Muhimbili.
![[IMG]](https://www.jamiiforums.com/proxy.php?image=http%3A%2F%2Fwww.jamiiforums.com%2Fmobile-gallery%2F5f03e9e6a53c3581fa7a5056f27abc75.jpg&hash=34d65310a4f293db81cc519b1480c58b)

Comments
Post a Comment