BREAKING NEWS!! BASHE NA MSUKUMA WASHIKILIWA NA POLISI BAADA YA KUTWANGANA NGUMI KISA NI...

                                                       BLOG NO 1 TANZANIA !!
bashe


Habari tulizopenyezewa ambazo hazijathibitishwa bado zinasema  Mbunge wa Geita vijijini na Bwana Joseph Kasheku 'msukuma' na mwenzake mbunge wa Nzega mjini  pamoja na Adam malima wanashikiliwa na polisi baada ya kuvurumishishiana Ngumi kwenye kikao  ikisemekana walifikia hatua hiyo kutokana na maamuzi ya timua timua yaliyofikiwa na kikao kilichomalizika leo baadae Tuutawaletea habari yote iliyokamilika
stay tuned!!

Tokeo la picha la MSUKUMA NA BASHE

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU