BREAKING NEWS GWAJIMA AKAMATWA TENA ILI AFANYIWE UPEKUZI UPYA!!
BLOG NO 1 TANZANIA !!
Polisi wamkamata Gwajima tena. Yadaiwa atafanyiwa upekuzi upya!::
Polisi jijini Dar wamemkamata Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Leo siku ya Ijumaa akiwa nyumbani kwake na inasemekana wameweza kumfanyia upekuzi upya.
Gwajima amepelekwa Central na taarifa zaidi zitafuatia

Comments
Post a Comment