BREAKING NEWSSS….WAZIRI NAPE AZUIWA KUFANYA MKUTANO…YEYE ALALAMIKA KWA NINI WAMTOLEWA BASTOLA

Waziri Nape amefika na amezuiliwa na watu waliovaa mavazi ya kiraia. Kwa sasa analalamika kwanini wamtolee bastola.
Nape Nnauye: Mimi sina kinyongo na uamuzi wa Rais. Kama sikumshawishi kunichagua, hata kuniacha ni sawa tu

Comments
Post a Comment