BREAKING NEWZ WATU WANAO DHANIWA NI POLISI WAVAMIA NYUMBA YA GWAJIMA USIKU HUU
BLOG NO 1 TANZANIA !!
Watu wanaodhaniwa kuwa ni polisi wamezingira Nyumba ya Askofu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima huko Salasala muda huu.
Bado haijafahamika wanatafuta nini.


Comments
Post a Comment