**BUZUKI TIME INAENDELEA NOW KWENYE REDIO YAKO PENDWA!!**

                                        BLOG NO 1 TANZANIA !!

Wapenzi wa blog yetu pendwa  blog yenu pia ina redio ya online ambayo inatoa burudani kila kona  pia tumejipanga kuwapa habari zilizokwenda shule kama ambavyo mnaona kwenye blog nyie ndio mlioifanya blog hii kua namba 3 kwa kusomwa na watu nchini nawashukuru sana  nawatambulishia redio yenu naomba muipokee kama mlivyoipokea blog mdogo mdogo hii redio tutasomeka fm 
Tunajipanga huku tunaomba Mungu kwa kua sisi ni vijana wa kitanzania tusiokua na uwezo wa kifedha ila tuna ujuzi na utaalamu tuna amini ipo siku kufanya kazi kwetu kwa bidii kutalipa na kuwafanya nyie kupata kila mnachohitaji kutoka kwetu hizi ni baadhi ya vipindi vitakayopatikana hapa kwa kipindi hiki redio ika kwenye kipndi cha majaribio BONYESA HAPA KUSIKILIZA












Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU