CCM WAMPIGA MBUNGE WA KIKE WA CHADEMA NA DEREVA WAKE KISA KUPITA KARIBU NA MKUTANO WAO!!

                                                     BLOG NO 1 TANZANIA !!





VURUGU DODOMA: Mbunge wa viti maalum (CHADEMA), Kunti Majala aokolewa na polisi, dereva wake akipigwa na watu baada ya kupita na gari karibu na jengo la Mkutano wa CCM…, kunti Majala pia ni naibu Katibu Mkuu wa Baraza la wanawake Taifa (BAWACHA) 

CMM



Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU