CLOUDS WAENDA MAHAKAMANI BAADA YA UVAMIZI WALIOFANYIWA!!
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
BLOG NO 1 TANZANIA !!
Clouds media kesho wanafungua kesi mahakamani kutokana na uvamizi Wa ofisi yao Mawakili Wa clouds media kesho watakuwa mahakamani asubuhi mapema wakiongozana na mkurugenzi Wa clouds media Keshi inahusu uvamizi Wa ofisi zao na watu wanao julikanawakiongozwa na daudi bashite Uvamizi huo umeleta sintofahamu katika ofisi zao lakini pia upotevu Wa mali na uharibifu Wa Mali za ofisi Idara ya habari kwa umma clouds media
BLOG NO 1 TANZANIA !! Pamoja na kwamba awali, beki wa kati wa Simba Mwanjale alionekana anarejea na kuwa fiti, daktari amemuongezea siku zaidi. Mwanjale atakuwa nje kwa matibabu kwa siku 15 kabla ya kurejea mazoezini. Imeelezwa, goti aliloumia linahitaji mapumziko wakati akiendelea na matibabu. Matarajio ni kuanza mazoezi wiki ijayo ingawa inawezekana hatacheza mechi mbili za mwanzo au zote za Kanda ya Ziwa.
Comments
Post a Comment