DOWNLOAD APPLICATION YETU UPATE REDIO NA BLOGS ZILIZOKWENDA SHULE

                                                     
                                                          BLOG NO 1 TANZANIA !!

Kutokana na maombi ya wapenzi wa blog hii tumeona tuwaletee Application ili iweze kuwasaidia kutupata kwa urahisi hii Application bado hatujai Submit Goggle Play Store  kwa hio hapa ntakufundisha jinsi ya kufanya ili uweze kui download na ku Install vizuri bila kukusumbua kwa kua Application  yeyote  ambayo haiko kwenye Google play Store  ku Install kwenye Android  lazima uende kwenye Security alafu una allow install from other alafu ndio una install application. Ni application nzuri kwa kua itakupa unachokihitaji kwa sasa kuna redio na blog za kampuni yetu makini ya HABARI 24 HRS Baadae tutaongeza tv online na vitu ambavyo tutaona una stahili kuvipata tunaomba ui download na uiweke kwenye cm yako ufurahie habari zetu utakua wa kwanza kupata habari mpya kila zinapotufikia pia utapata burudani ya nyimbo mpya na za zamani kwenye redio yetu mpya ambayo ipo kwenye majaribio kwa sasa

BONYEZA HAPO CHINI KU DOWNLOAD APPLICATION KWA ANDROID
BONYEZA HAPO CHINI KU DOWNLOAD APPLICATION KWA IPHONE



Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU