GAZETI KENYA LAMCHORA RAIS MAGUFULI KWENYE KATUNI NA KUMUITA DIKTETA HEBU IANGALIE HAPA!!

                                               BLOG NO 1 TANZANIA !!
Tokeo la picha la magufuli leo


Gazeti moja la nchini Kenya linalojulikana kama The Star Kenya limemchora Rais Magufuli katuni na kumuita dikteta kupitia ukurasa wake wa facebook
TANZANIA HOT NEWS inalaani kitendo hicho kwa kua kinamkosea Adabu Raisi wa jamuhuri Ya Tanzania na pia sio picha nzuri ya ujirani mwema!!

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU