*********************HAPPY WOMEN'S DAY*****************************
BLOG NO 1 TANZANIA !!
*********************HAPPY WOMEN'S DAY*****************************
Wanawake ni watu muhimu kwenye maisha yetu kwenye wanawake hao ndipo kuna mama zetu kuna Dada zetu kuna watoto zetu kuna wake Zetu pia kuna walimu wetu wakunga zetu kifupi wameingia sekta zote za maisha yetu ni watu muhimu ambao tuna paswa tuwaheshimu na kutambua umuhimu wao katika maisha yetu lakini cha kusikitisha ni kua kuna wanawake ambao hawajui thamani ya utu wao na umuhimu wao kwa jamii hawa ndio wanawapa nguvu wale wanao ongozwa na msemo unaosema "MWANAMKE NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU" kwa matendo yao,maneno yao wanaudhalilisha uanawake wao matokeo yake thamani ya mwanamke inazidi kuwa chini japo ni watu muhimu maishani ni sawa na kua na jiwe la Tanzanite kati kati ya bahari halina thamani ka kua utamuuzia nani upate hela na hata ukiwa na hela nini utanunua katikati ya bahari? Mwanamke unatakiwa utambue thamani ya utu wako na siku zote mwanamke anaejiheshimu ndie anapendwa na jamii ukijirahisisha watakuonyesha machoni wanakupenda lakini utaitwa majina ambayo mengine ukisikia au mwanao au ndugu yako akisikia anaweza akakaa chini akalia ushauri wangu kwa siku ya "WANAWAKE DUNIANI" wanawake wenyewe waikuze thamani yao ndipo wanaume hata wale waliokolea kwenye mfumo dume wenyewe wataona haja ya kutoka huko wanawake ni MADINI YA THAMANI KULIKO TANZANITE hivyo ni wajibu wako mwanamke kutambua thamani yako na kukaa kwenye thamani yako bila wewe hakuna kituuuuuuuuuuuuuuuu!!
napenda kumalizia kwa kuwatakia marafiki zangu wote wanawake
heri ya "SIKU YA WANAWAKE DUNIANI" pia salamu special ziende kwa Mama yangu alienizaa huyu anajua ninavyomthamini kwa kua ni mtu ambae mambo yangu yakikaa vibaya anakonda kuliko mimi!! pia sakamu special ziende kwa mke wangu Mai Yusuphu na wifi yake Berlinda Kiondo hawa ni watu muhimu mno kwenye maisha yangu wamekua msaada mkubwa sana kwangu sijui niwaambiaje waelewe? ila tu nawapenda sana salamu special zije kwenu wasomaji Nguli na wa kila siku wa blog ya TANZANIA HOT NEWS nashindwa kuwataja mmoja mmoja naogopa kesi ya kuacha jina nawapenda sana mmekua sehemu ya maisha yangu sitaki niwakose hata siku moja nawapenda kinoma!!

Comments
Post a Comment