Hatimaye RC Makonda awasili Bungeni kuhojiwa juu ya utawala wake.
BLOG NO 1 TANZANIA !!





Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amewasili Bungeni na kupokelewa na Mkuu kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano Owen Mwandumbya kuitikia wito wa Kamati ya Bunge ya Haki, kinga na Madaraka kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge. Wito wa kufika mbele ya kamati hiyo umefikiwa kifuatia azimia la Bunge lililotewa tarehe 8 Februari 2017 kumuomba Spika kuwaita mbele ya kamati wakuu wa wilaya na mikoa waliotoa matamshi ya kudharau mamlaka ya Bunge
Comments
Post a Comment