HIVI NDIVYO VYOMBO VYA HABARI AMBAVYO BLOG HII INAVIMILIKI SI YA MCHEZO MCHEZO!!

                                              BLOG NO 1 TANZANIA !!



Uongozi wa Blog hii ya TANZANIA HOT NEWS  ambayo haina muda mrefu lakini imekua chaguo la Watanzania na hata wasio wa Tanzania maana inasomwa sana hata nje ya mipaka ya Tanzania  Tunaomba kuwafahamisha kua sisi Tumejikita katika kuhabarisha na kuburudisha  ni kampuni ya kijana wa kitanzania ambae ana amini katika kujituma na kufanya kazi kwa nguvu mtaji wake kwa sasa ukiwa ni ujuzi aliokua nao kwa hio Tunaomba sana sapoti yenu kwa Vyombo vyetu vya Habari ambavyo ni Vichanga lakini vilivyojipanga vizuri Tumeona sehemu ambayo vyombo vingine vinapoteleza pia tumeona vyombo vingine vya habari vinapo pata mafanikio hivyo tumejifunza vya kutosha pia na bado tunaendelea kujifunza na kupokea ushauri na kuupima na kuufanyia kazi  Tukiamini katika msemo kizuri kitajiuza kibaya kitahangaika kujitembeza na hakita takiwa.

  TUNAOMBA TUKUTAMBULISHE  BLOGS ZETU NA REDIO ZETU


Hii ni blog inayohusu mambo ya Dini utasoma na kusikiliza Mahubiri pia na wewe unaweza kuhubiri




Hii ndio blog inayo ongoza kwa habari kwa sasa Tanzania kwa kua tunaweka habari kwa wakati 





Blog hii imejikita kwenye habari za Burudani  Ndani ya nchi  na nje ya nchi utapata habari zote hapa





PIA TUNA REDIO ONLINE  AMBAZO MALENGO YETU ZIWE  FM BAADAE KIDOGO





Hii ni Radio ambayo Tanzania ilikua inaisubiri kwa muda mrefu  redio hii itagusa maeneo yote  ya 
kihabari pamoja na  kiburudani  Tutakua na vipindi vitakavyogusa kila rika watu wazima ,vijana na wazee  japo Tutasimamia sana kwenye Burudani  lakini zitakua na mpangilio ambao hautabagua kundi la watu flani kama sasa ambapo redio nyingi zimekua zikipiga nyimbo za Aina moja na kuwafanya aina ya wasikilizaji wengine kua wakiwa  hii itakua Redio ya wote  karibu uisiilize iko katika kipindi cha majaribio bado hatuja anza vipindi Rasmi

BONYEZA HAPO CHINI KUISIKILIZA




Hii radio ya Dini Ambayo yenyewe imejikita katika kuhubiri Neno la MUNGU pia imejikita katika kutoa burudani ya nyimbo za injili pia kutangaza Albam za wasanii wa Nyimbo za injili kwa kua Redio hii inasikika ulimwenguni kote kwa kupitia Internet na tuna uzoefu mkubwa wa biashara za Internet tuna amini Albam itawafikia watu wengi zaidi Duniani  karibu uisikilize iliwa bado kwenye kipindi cha Majaribio bado haijaanza vipindi Rasmi

BONYEZA HAPO CHINI KUISIKILIZA


TUNAKARIBISHA WOTE KUFANYA KAZI NA SISI  ILI TUWEZE KUIONYESHA DUNIA  VITU AMBAVYO TUNAVYO KICHWANI ILA TUNATATIZWA  TU HALI YA KIUCHUMI  TUNAPOKEA MATANGAZO YA BLOGS PIA YA REDIO PIA KAMA KUNA ANAETAKA KUA MDHAMINI WA KIPINDI CHOCHOTE ANAKARIBISHWA NA MILANGO IPO WAZI MAWASILIANO YETU NI HAYO HAPO CHINI

SMS: ONLY 0684 666320
CALL:          0656 176261
CALL:          0653 429494

EMAIL godsonkiondo24@gmail.com
EMAIL habari24radio@gmail.com


Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU