kutana na samaki anaeweza kukaa miaka 5 bila kula wala kunywa chochote kutoka Africa
BLOG NO 1 TANZANIA !!


Kutana na samaki wa ajabu anayeweza kukaa mpaka miaka 5 bila kula wa kunywa maji.
Anaitwa African Lungfish. Samaki huyu maji yanapokauka hujiingiza kwenye tope na hukaa mpaka maji yatakaporudi.
Anawezaje kukaa muda mrefu hivyo bila kula? Samaki hawa hutoa ute mzito kuzunguka mwili ambao kuulinda kwenye kipindi hiki. Wanasayansi wanasema samaki huyu hupitia kitu kinachoitwa "suspended animation" (nusu kaputi) yaani kuzuia au kupunguza shughuli zote za kimaisha inabaki moyo na kuhema tu . Samaki hawa hupunguza spidi ya saa yao ya kibaiolojia ukilinganisha na saa zetu halisi. Hali hii huwapa nguvu zaidi ya kuishi.
Wakati wa kipindi hiki cha kufakufa, samaki huyu hali wala hanywi....hakojoi wala hatoi uchafu wowote. Ni kimyaaa tu. Mapafu yao yanauwezo wa kutumia oksijeni kidogo sana kipindi hiki huku wakiwa na uwezo wa kutumia vitu kutoka kwenye misuli yao kuwapa nguvu.
Mfumo huu umewavutia sana wanasayansi na wanahaha kutafiti namna ya kuutumia katika kufanya upasuaji kwa binadamu. Au kutumika pale tunaposafiri mbaaali basi tunajizimisha tu kama hawa samaki mpaka tufike.
Je binadamu tungekua na huu uwezo ingekuaje? Niandikie comment yako.
...........................................................................
MEET The African lungfish can sleep for up to five years without any sustenance.
...........................................................................
MEET The African lungfish can sleep for up to five years without any sustenance.
The African lungfish can sleep out of water for three to five years without any sustenance, only to wake up when freshwater surroundings become available.
A study showing what happens on the cellular level to the fish could help scientists one day induce a similar state in humans, making long distance space travel and more advanced forms of medicine possible.
During suspended animation, the fish don't eat or drink and produce no waste, sometimes for as long as five years.
The researchers claim that in the process they slow down their biological clock, relinquishing the normal need for sustenance and surviving in a very low energy state.
The researchers claim that in the process they slow down their biological clock, relinquishing the normal need for sustenance and surviving in a very low energy state.
This kind of suspended animation has always fascinated scientists because if it could be replicated in some form in humans. It could be induced in patients in critical conditions - such as gunshot wounds - in order to buy some extra time to operate without the brain shutting down.
Comments
Post a Comment