Maandamano ya kumtaka Sanchez aihame Arsenal yabuma ile mbaya Chile wajitokeza watu 5 tu wazomewa wakimbia!!

                                          BLOG NO 1 TANZANIA !!
chanchenger

Santiago,Chile.

YALE MAANDAMANO yaliyopangwa kufanyika Jumatano Machi 1 huko Plaza Italia- Santiago,Chile kwa lengo la kumtaka staa wa nchi hiyo Alexis Sanchez aihame Arsenal yamebuma mwanangu.

Habari ambazo TANZANIA HOT NEWS imezipata zinadai kuwa maandamano hayo ambayo yangeandamana na ujumbe usemao Sanchez ondoka Arsenal yameshindwa kufanyika baada ya idadi kubwa ya watu waliojiandikisha kushiriki kuingia mitini.


SHARE THIS 

1

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU