Mbowe :Rais Magufuli Ndiye Rais wa Pekee Tanzania Atakaekaa Madarakani kwa Kipindi Kimoja..!!!
BLOG NO 1 TANZANIA !!


Mhe Rais Magufuli ndiye rais wa pekee Tanzania atakaekaa madarakani kwa kipindi kimoja cha utawala

wake kutokana na kuendesha nchi kibabe bila kufuata sheria, uonevu, upendeleo na hali ngumu ya maisha inayawakabili wananchi tofauti na kipindi kilichopita.Mbowe ametoa kauli hiyo wakati akizindua tawi jipya la Chadema katika kijiji cha Mpakani Kata ya Kwakifua Wilaya ya Muheza mkoani Tanga leo Jumamosi
Freeman Mbowe
M/kiti Chadema-Taifa.

Mwenyekiti wa CHADEMA MH.Freeman Mbowe akizundua Tawi jipya la CHADEMA katika kijiji cha Mpakani Kata ya Kwakifua Wilaya ya Muheza mkoani Tanga leo Jumamosi 25/03/2017
Comments
Post a Comment