Mbunge wa Chalinze RIDHIWANI ahojiwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya

                                                 BLOG NO 1 TANZANIA !!

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ahojiwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya. Kamishna William Siang’a amesema wanamhoji kila aliyetuhumiwa na ikibainika ana kosa anachukuliwa hatua.
-Ridhiwani amedai amefurahi kupata fursa ya kueleza ukweli na amesema amebainika hauzi wala kusafirisha dawa za kulevya.

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU