HEBU NJOO TUJIULIZE KWA UMAKINI HII VIDEO INAYOSEMEKANA NI MDOGO WAKE GWAJIMA AKIMSHAMBULIA KAKA YAKE!!

                                               BLOG NO 1 TANZANIA !!


Blog hii ni makini na hua inafanya uchunguzi wa habari zake kabla haijazirusha baada ya kuiangalia hii video kwa makini tumejiridhisha kua huyu si mdogo wake Gwajima labda wanafanana Majina pia alichokosea mwanzo ni kujitambulisha yeye ni kada wa chama gani kwa hio ukada wake ndio unamsukuma kuongea hicho alichokiongea kingine  alivyokua anaongea kuna mtu pembeni alimuuliza jina lako  kwa jinsi alivyolitaja jina anaonyesha kukariri huwezi taja jina lako kwa kusita vile japo TANZANIA HOT NEWS haigemei upande wowote wa sakata hili ila hii ni blog makini haizungushwi kitoto iko makini na habari zake tumejiridhisha hii ni tukio la kupanga sijajua huyu ametumwa na nani hii inatupa picha mbaya sisi wafuatiliaji wa mambo muacheni mwenyewe mkuu wetu wa mkoa  amalize hili tatizo kama ataona kuna haja ya kulifanyia hivyo sio watu wakupandikizwa waingilie kati matokeo yake wanazidi kulifanya hili swala liwe na sintofahamu Tunamuamini mkuu wetu wa mkoa tunakubali kazi yae kwa hio muachieni mwenyewehili swala ni mtu makini atalimaliza kwa namna atayoona inafaa sio kutuchezea cinema



Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU