MKE WA MICHAEL ESSIEN ANUNUA TIMU YA SOKA ITALIA Soma zaidi hapa
BLOG NO 1 TANZANIA !!

Akosua Puni ambaye mke wa kiungo wa zamani wa Chelsea Michael Essien, amenunua timu ya soka ya Como inayocheza ligi daraja la tatu Italia. Mke huyo wa Essien amelipa pauni 206,000 ili kuinunua klabu hiyo iliyofilisika na hakuwa na ushindani wowote.
BONYEZA HAPO CHINI UDOWNLOAD APPLICATION YA TAANZANIA HOT NEWS

Akosua Puni ambaye mke wa kiungo wa zamani wa Chelsea Michael Essien, amenunua timu ya soka ya Como inayocheza ligi daraja la tatu Italia. Mke huyo wa Essien amelipa pauni 206,000 ili kuinunua klabu hiyo iliyofilisika na hakuwa na ushindani wowote.

Comments
Post a Comment