MTUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA!! AFARIKI MAHAKAMANI BAADA YA KESI YAK!!E KUITWA

                                                 BLOG NO 1 TANZANIA !!
MTUHUMIWA AFARIKI


Mtuhumiwa wa kesi ya dawa za kulevya aina ya bangi mkazi wa Kata ya Kibeta Manispaa ya Bukoba Kudra Winchslaus amefariki dunia wakati shauri lake lilipoitwa kwa ajili ya kusikilizwa.


Shauri hilo namba 50 la kukutwa na debe mbili za bangi lilikuwa katika mahakama ya hakimu mkazi Bukoba. Kamanda wa Polisi Augustino Ollomi amesema atatoa ufafanuzi wa suala hilo baadaye.

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU