News Alert: MKUU WA MKOA ANUSURIKA KUFA KWA KUGONGWA GARI AKIFANYA MAZOEZI ASUBUHI HII

                                                    BLOG NO 1 TANZANIA !!

Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kuwagonga wananchi waliokuwa katika mazoezi asubuhi ya leo Jumamosi Machi 18,2017 mjini Iringa huku mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza na katibu tawala Wamoja Ayubu wakinusurika katika ajali hiyo.

Ajali hiyo imetokea nje ya lango la kamanda wa polisi mkoa wa Iringa dakika tatu tu baada ya kuanza mazoezi kuelekea uwanja wa Samora.

Ajali hiyo imesababishwa na dereva taxi kuwaparamia wafanya mazoezi hao.

Taarifa kamili inakuja hivi punde...

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU