NEY WA MITEGO AMLILIA VANNESA ASEMA ANAMUOMBEA HAYA MAJARIBU YAPITE
BLOG NO 1 TANZANIA !!

Anashikiliwa kwenye kituo cha polisi cha kati jijini Dar es Salaam kutokana na siku za nyuma kutakiwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuenda hapo baada ya kutajwa kwenye orodha ya watu wanaoshukiwa kuhusika kwenye matumizi na biashara ya dawa za kulevya.
Nay wa Mitego ameandika post ndefu kwenye Instagram kumpa pole Vee Money na kumwelezea anavyomkubali.
Sijui ulipo anzia, But mpaka apa Ulipofikia Umepambana sana, Nina Imani #Mungu Ndo aliye kufanyia Wepesi mpaka kua #BrandKubwa na kupata hatua Ulizo nazo. Naamini Mungu Huyu Huyu ndiye atakae kufanyia Wepesi Kwenye yanayo kukabili ivi sasa. Amini izi ni Changa moto tu na ni Mapito ambayo Binadamu tunapitia kwenye Safari ya kuelekea kutimiza Ndoto zetu, I pray for you my Friend @vanessamdee Naamini Brand yako haiwezi haribika kirahisi Coz ume pambana Sana ni wasichana wachache wenye kuweza Ku Fight Kama wewe. Mungu ata kusimamia uzidi kusonga mbele, Haya yata pita Nina Imani utakua StrongZaidi. #CashMadame KeepItUp. Napenda kuona Wasichana wakifanikiwa kwa kufanya Kazi kwa Bidii #VannesaTheBrand Wewe ni Mwanamke wa Shoka, Usiyumbishwe kua Mfano. Najivunia uwepo wako kwenye Game ya Muziki Wetu. Don’t give up
#VannesaTheBrand
Comments
Post a Comment