RADIO ZA TANZANIA ..ZAONGOZA KWA KUIGANA VIPINDI,WATANGAZAJI KUIGANA SAUTI
BLOG NO 1 TANZANIA !!
HAKIKA KATIKA KUSIKILIZA RADIO MBALIMBALI ZA NJE NIMEGUNDUA KUNA TOFAUTI SANA UKILINGANISHA NA RADIO ZETU ZA HAPA TANZANIA.KUNA MENGI NIMEYAGUNDUA KATIKA RADIO ZETU ZA HAPA TANZANIA SIO ZA DAR TU BALI HATA MIKOANI MATATIZO NI YALEYALE.
TUKIANZA NA UPANDE WA VIPINDI ,RADIO NYINGI VIPINDI VINAFANANA UTAFIKILI ALIYE PANGA VIPINDI RADIO HII NDO KAENDA KUWAPANGIA RADIO NYINGINE.
KWA MFANO VIPINDI VYA ASUBUHI RADIO KARIBU ZOTE VINAFANAN TOFAUTI NI MAJINA YA VIPINDI TU.
JINGINE NI PALE RADIO MOJA INAPO ANZISHA TUKIO FLANI MALA UTASIKIA RADIO NYINGINE WAMEANZISHA TUKIO KAMA LILE LILE. MARA UTASIKIA HAWA WAMEANZISHA JOGING MALA NA RADIO NYINGINE WANAIGA
SASA KUNA HILI LA WATANGAZAJI KUIGANA SAUTI HILI NDO TATIZO AMBALO NI KICHEFUCHEFU KWA SASA,YANI WATANGAZAJI HAWATAKI KUJA NA SAUTI ZAO ORIGINAL UTASIKIA HUYU ANALAZIMISHA ATANGAZE KAMA KITENGE AMA HUYU ANATAKA ATANGAZE KAMA B12,HAPO NDO INAPOKUWA SHIDA SASA.NAONA NI VYEMA KILA MTANGAZAJI AWE NA UHALISIA WAKE SIO TABIA ZA KUIGANA.
KWENYE KUANGALIA HILO NDIO MAANA REDIO ZETU KABLA HATUJA ANZA VIPINDI RASMI TUNAWAWEKA NA KUWAFUNDISHA UJANJA NA KUWAONYESHA WENGINE WANAPOKOSEA ILI REDIO ZETU ZITAKAPO ANZA VIPINDI RASMI ZIWE NDIZO REDIO AMBAZO ZILIZOKUA ZINASUBIRIWA NA WATANZANIA MUDA MREFU BONYEZA HAPO CHINI KUZISIKILIZA KWA SASA ZIPO KWENYE MAJARIBIO
CLIK HIO RADIO USIKILIZE 24 FM RADIO
CLICK REDIO UUSIKILIZE REDIO YA DINI YA PRASE 24 RADIO
Comments
Post a Comment