RAIS MAGUFULI AMEMSIFIA MAKONDA NA KUMWAMBIA AFANYE KAZI YEYE HAPANGIWI NA MTU NANI AKAE WAPI!!

                                                 BLOG NO 1 TANZANIA !!

Rais MAGUFULI AMEMPONGEZA MAKONDA NA AMEMWAMBIA ACHAPE KAZI ASISIKILIZE MITANDAO.AMEYASEMA HAYA LEO HII WAKATI AKIZINDUA UJENZI WA BARABARA ZA JUU ENEO LA UBUNGO.
WaTanzania tumejikita sana kwene Maswala ya Umbea, ambayo hayatupunguzii njaa, hayatupunguzii umaskini, hayatupunguzii maratizo ya elimu
Mnajisumbua na vipost vyenu, kana kwamba mnanipangia mimi, mimi sipangiwi tena ukinipangia ndio kabisa naacha, mimi ndio Rais hakuna wa kunipangia cha kufanya, nilipoenda kuchukua form hakuna alienipangia
Hakuna wakunipangia nani nimuweke wapi, mimi ndo napanga fulani anakaa wapi, kwahiyo “Makonda” wewe piga kazi hapa kazi tu… achana na hayo yanayosemwa kwenye mitandao ww piga kazi tu… Hapa kazi tu! Hakuna wa kunionyesha mimi njia ya kupita, chama changu cha CCM kilishanionyesha njia!

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU