Wananchi Wasikitishwa na Yaliyomkuta Mange Kimambi, Wamlazimisha Kumchangia.

                                              BLOG NO 1 TANZANIA !!




Watu wengi wameoneshwa kusikitishwa na jambo lililomkuta Mange Kimambi kuhusu kupigwa mnada kwa Hoteli ya familia yao ambayo Mange anahisa 25%.
Kwa kuonyesha masikitiko yao juu ya jambo hilo, watu wengi wamemuomba Mange atoe namba ya Akaunti wamchangie ili aweze kulipa deni wanalodaiwa.

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU