HAYA HAPA NDIO MAJINA YA WALIOGUSHI VYETI YASOME YOTE HAPA!!

Picha inayohusiana
aneno ya rais Magufuli sasa yatimia rasmi, majina ya watumishi hewa sasa Hadharani wakiwemo vigogo hawa waliojitokeza. Huu ni ukweli usipingika kuwa hawa ndio watumishi hewa kila mmoja ahamaki kuyaona majina haya ya watu wazito yakiwemo kwenye orodha hii. Jaribu kutazama kwa makini majina hayo na kuyasoma moja baada ya jingine
kwani utamuona kila mmoja sehemu anayofanya kazi na jina lake halisi. Mkoa wa Arusha wageuka kinara.
Mwandishi wetu mahili ameamua kuyaweka majina hayo yote bila kuacha hata moja ila watu waweze kuyasoma na kuyaelewa watu wote waliotumbuliwa na kutakiwa kuondoka kwenye ofisi zao mara moja bila kutumia nguvu. Angalia majina hayo hapa chini.
 
download application yetu upate habari kwa wakati 

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU

Mbwana Samatta ageuka lulu Ujerumani