Huyu Ndiye Shabiki Anayedaiwa Kufanana Zaidi na Lionel Messi

*********************** ****** BLOG NO 1 TANZANIA !!**** *********************

Iran

HUYU pichani ni Lionel Messi?Hapana!!Ni shabiki wa soka wa nchi ya Iran,Riza Perestes ambaye amejizolea umaarufu mkubwa pande nyingi za dunia kutokana na kufanana na nyota huyo wa Barcelona na Argentina.

Chini ni Perestes katika pozi mbalimbali


Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU

Mbwana Samatta ageuka lulu Ujerumani