LOWASSA NA RAIS MAGUFULI WAINGIA ULINGONI UCHAGUZI WA KENYA

*********************** ****** BLOG NO 1 TANZANIA !!**** *********************
Wageni kutoka Jamhuri ya Kenya wakiongozwa na wabunge 13, Madiwani, Machifu na Maleigwanan kutoka Kenya mchana wa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake kijijini Ngarash, jimbo la Monduli wakiongozana na vikundi mbalimbali vya Wajasiriamali kutoka Wilaya mbalimbali za Mikoa ya Arusha na Manyara.
Aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA na waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Mheshimiwa Edward Lowassa leo ameuambia ujumbe wa wabunge kutoka Kenya kuwa anamuunga mkono mgombea Urais ambaye pia ni Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.
“Niseme hivi, sisi watu wa Monduli tumeamua kumuunga mkono Rais Kenyatta.Tuko tayari kumsaidia pale wakati utakapofika, tunafanya hivyo kwa sababu tunampenda na yeye pia anatupenda. Tunaamini yeye pekee ndiye mtu sahihi ambae anaweza kuendeleza mshikamano na umoja uliopo baina ya mataifa yetu haya mawili”
Wakati Mhe Lowassa akitoa support kubwa kwa Rais Uhuru Kenyata,Rais Magufuli yeye anatoa support kubwa kwa Swahiba wake wa siku nyingi Raila Odinga katika Uchaguzi huo,hivyo kinachotegemewa hapo waweza kufikiria mwenyewe
download application yetu upate habari kwa wakati 


Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU

Mbwana Samatta ageuka lulu Ujerumani