‘Mbatia atimize ahadi la sivyo nitavua nguo’-Mrema
BLOG NO 1 TANZANIA !!
Mwenyekiti wa bodi ya Parole Augustino Mrema amemtaka mbunge wa Vunjo James Mbatia atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila mwezi pamoja na majani ya chai kama alivyoahidi kwenye kampeni zake mwaka 2015.

Comments
Post a Comment