ROMA MKATOLIKI AVAMIWA USIKU NA KUKAMATWA NA KUPELEKWA KUSIKO JULIKANA
BLOG NO 1 TANZANIA !!
ROMA MKATOLIKI AMEKAMATWA USIKU WA KUAMKIA LEO…
Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa moja usiku na wamemchukua ROMA @roma2030 , MONY @moni_ centrozone na kijana wa Kazi na pia wamechukua COMPUTER ya studio na Screen (Tv) na wameondoka navyo kusikojulikana..
Mpaka sasa hatujui wamewapeleka wapi!!
Mpaka sasa hatujui wamewapeleka wapi!!
Alichoandika Professor J

Comments
Post a Comment