simba yashinda mpira wa mezani yapewa pointi 3 za kagera sugar
BLOG NO 1 TANZANIA !!
Hatimaye kamati iliyokaa leo imebaini Timu ya kagera Sugar ilimchezesha mchezaji wake Muhamad Fakhy hukunakiwa na kadi 3 za njano ambalo ni kosa kisheria.sasa Timu ya simba imepatiwa point 3 na magoli mawili na hivyo kupelekea Kagera Sugar kupokwa point 3 na magoli 2.Katika mchezo huo Simba ilifungwa goli 2-1 na Kagera Sugar

Comments
Post a Comment