TAFADHALI USIKOSE KUSIKILIZA KIPINDI CHA ZILIPENDWA KUANZIA SAA 10:00 JIONI MPAKA SAA12:00 JIONI

                                       BLOG NO 1 TANZANIA !!
Mpenzi msomaji wetu wa Blog ya TANZANIA HOT NEWS leo kutakua na kipindi kikali cha Zilipendwa kitakachorushwa na Redio Mama ya blog hii  kwa hio tunakuomba ukae tayari kupata burudani itakayokukumbusha enzi zako na kukumbuka maisha uliyopitia sehemu ulizojikwaa kujua namna ya kuvivuka vikwazo na sehemu ulizopatia katika maisha yako kuiendeleza  tafadhali nenda pembeni juu upande wa kulia bonyeza  redio 24 usikilize kipindi upate burudani bure kabisaaa

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU