** TANGAZO MUHIMU KUTOKA HABARI 24 MEDIA **

                                              BLOG NO 1 TANZANIA !!
Endelea kuwa msikilizaji wetu na msomaji wetu kwa kufanya hivyo utatupa Nguvu na kuzidi kufanya vitu vizuri na kukupa zaidi burudani pamoja na Habari Tunapokea pia maoni pamoja na ushauri jinsi ya kuweza kusonga mbele kwa kua wewe msomaji wa blog zetu na msikilizaji wa Redio zetu ndiye  ambae unaona ubora wetu na udhaifu wetu tunahitaji sana maoni yako kwa kua yatatufanya tujue wapi tumeteleza na wapi tumekwenda sawa ili Tuzidi kua bora na kua cha guo la wa Tanzania wote pamoja na nchi nyingine za Dunia

TAFADHALI TUMA MAONI YAKO KWENYE NAMBA HIZI HAPA CHINI 

0656 17 6261
0653 42 9494
0684 66 6320

PIA UNAWEZA KUTUANDIKIA  KUPITIA EMAIL ZETU HAPO CHINI

godsonkiondo24@gmail.com
habari24radio@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU