ANGALIA VIDEO: NDALA ZILIVYOLETA UGONVI KWA WAPANGAJI MPAKA KUCHOMANA VISU KIASI HIKI CHA KUTISHA

Inadaiwa kuwa mpangaji huyo alikuwa na masharti kwa wapangaji wenzake akiwaambia kuwa hataki mazoea na mtu na kuwaonya kuwa hata familia yake pia wasiizoee.


Comments
Post a Comment