BREAKING NEWS: ARUSHA YAZIDI KUKUMBWA NA MAJANGA, TAZAMA AJALI NYINGINE HII HAPA YAUA WATANO HAPOHAPO...soma zaidi hapa...
MKOA wa Arusha Umeendelea Kukumbwa na baa la Ajali ,ambapo ikiwa haijakatika hata wiki toka ajali ya basi la shule kuua wanafunzi 36,leo hii kumetokea ajali nyingine ya nyumba kuangushwa na mti uliokuwa unasombwa na maji mengi,hali iliyopelekea vifo vya watu 5 na wawili kujeruhiwa.
Comments
Post a Comment