BREAKING NEWS: WANAFUNZI 20 NA WALIMU WAO WAFARIKI KWENYE AJALI LEO HII

Image may contain: one or more people and outdoor
Arusha : Wanafunzi 20 pamoja na walimu wao wamefariki dunia baada ya Basi aina ya Coaster waliyokua  wakisafiria kuacha njia na kutumbukia mtaroni katika  eneo la mlima Rhotia  wilayani Karatu Arusha wakati wakielekea kwenye shule nyingine  kwa ajili ya mitihani ya ujirani mwema
Mkuu wa Polisi mkoani Arusha  Charles Mkumbo  amethibitisha  na kusema atatoa taarifa  baadae akishafika kwenye eneo la tukio, Taarifa kamili zitakujia baadae hakikisha umedownload  application yetu ili uwe wa kwanza kupata habari  pindi zinapotufikia  

Image may contain: outdoor






download application yetu upate habari kwa wakati 

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU