BREAKING NEWS: WEZI SUGU WA MAGARI WAKAMATWA LEO HII KAMA UMEIBIWA GARI SOMA HII UKACHUKUE GARI LAKO


Taarifa toka jeshi la police

Kampuni ya Cartrack kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Tumekamata magari 5 yaliyoibwa yakiwa yamefichwa nyumbani kwa John Bangizi huko Mbezi msakuzi ( machimbo) na mtuhumiwa amekiri kuhusika na wizi wa magari hayo. 
Kwa wale waliowahi kuibiwa magari yao tafadhali fika kituo cha police Mbezi Luis kwa utambuzi. 
Simon Siro, Kamishna wa Police Kanda Maalumu, Dsm.






download application yetu upate habari kwa wakati 

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU