*BREAKING NEWSSSS* AJALI MBAYA YATOKEA ASUBUHI HII KAHAMA BASI LAGONGANA NA COSTA
AJALI MBAYA IMETOKEA ASUBUHI HII SHINYANGA ENEO LA KIZUMBI MBUYUNI KWENYE KONA....BASI LA ALLYS TOKA MWANZA LIMEGONGANA NA COSTA YA ISANZU TOKA KAHAMA
Tutaendelea kuwapa taarifa tukiwa tunafanya mawasiliano na Kamanda wa Mkoa wa Shinyanga atupe hali halisi ya majeruhi ama waliofariki kwenye ajali hiyo kama wapo
Tutaendelea kuwapa taarifa tukiwa tunafanya mawasiliano na Kamanda wa Mkoa wa Shinyanga atupe hali halisi ya majeruhi ama waliofariki kwenye ajali hiyo kama wapo
Comments
Post a Comment