GARI LA MBUNGE MH SEIF GULAMALI LAPATA JALI MBAYA SOMA HABARI HAPA!!


Gari la Mbunge wa Manonga Igunga, MH Seif Gulamali. Limepata ajali maeneo ya Ibologero likiwa na dareva wake pamoja na kijana mwingne, wakati wakirudi toka Mwanza walikompeleka mbuge huyo na kumwacha.

Wakati dereva anarudi Igunga na mwenzake bila kuwepo Mbunge huyo, Wakapata ajali, na wote wawili wametoka salama


download application yetu upate habari kwa wakati 

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU