TBC YASHAMBULIWA KILA KONA ,KUTOKANA NA KUSHINDWA KURUSHA LIVE KUAGWA KWA MIILI ARUSHA.
Hakika katika televishion iliyowashangaza watanzania wengi ni TBC,hii inatokana na kushindwa kuonyesha live tukio kubwa la msiba wa wanafunzi 32 waliofariki kwa kupata ajali ya gari.Huku baadhi ya televisheni binafsi ka clouds zikitoa taarifa kwa kina na ukaribu wakionyesha kiguswa sana na tukio hilo.Cha ajabu televisheni ya Taifa ambayo ndo ingekuwa karibu sana na tukio hilo.Mitandaoni watu wamelaani sana kitendo cha tbc kutofanya coverage ya moja kwa moja juu ya tukio hili la huzuni kwa taifa.
Ila Habari 24 media inayomiliki blog hii ilirusha moja kwa moja live kupitia Redio zake 24 radio pamoja na Praise 24 radio pia tulirusha live Video kwenye blog yetu ya Tanzania Hot News hii unayosoma habari hii
download application yetu upate habari kwa wakati

Comments
Post a Comment