HII NI DHARAU KWA RAIS SIO UHURU WA KUONGEA ALICHOKIFANYA HUYU KIJANA

Kijana ambae blog hii imefanya uchunguzi na kugundua anatumia jina la Laude Frank Mbwesi amemkosea adabu Rais wa jamhuri ya wananchi wa Tanzania kwa kujibu Twitter ya Rais bila adabu kuna aina ya kuongea na mkuu wa nchi na kuna njia mbalimbali za kufikisha ujumbe kwa Raisi sio hatua hii ambayo huyu
kijana ametumia kwa kiongozi wa nchi, blog hii ya TANZANIA HOT NEWS inaakumbusha vijana wa ki Tanzania kua kua makini na kutumia mitandao kwa usahihi kwa kua kutumia nje ya haki zakoza msingi ni kujihatarishia Uhuru wako kwa kua Utakuja kufungwa au kushitakiwa upigwe Faini ambayo itakugharimu pia kutumia mtandao vibaya ni kujitafutia uadui na watu tumeshuhudia visa vingi watu walitukanana kwenye mitandao wakaamua kutafutana na wakaumizana wengine kuuana kwa hio kama mwandishi wa Blog hii namuomba Bwana Laude amuombe Rais msamaha na afuate taratibu nzuri za kufikisha ujumbe kabla halijampata kubwa zaidi ya hili kwa kua atapata sifa kwa watu kwa kitendo alichokifanya na kumdangnya ndio ushujaa lakini akipata matatizo wote watamkimbia na matatizo yabaki kwake na familia yake

Comments
Post a Comment