Matokeo ya mechi za jana na siri ya Arsenal ya kutoa vipigo vya Mbwa mwizi
Manchester City 2 - 1 Leicester City
AFC Bournemouth 2 - 1 Burnley
Middlesbrough 1 - 2 Southampton
Sunderland 0 - 2 Swansea City
Stoke City 1 - 4 Arsenal
Huu hapa msimamo wa timu sita za juu na zile za mwisho za ligi hiyo baada ya michezo ya jana kumalizika..
Comments
Post a Comment