N'GOLO KANTE MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA FWA ENGLAND
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Soka England (FWA), Patrick Barclay (kushoto) akimkabidhi kiungo wa Chelsea, N'golo Kante tuzo ya Mchezaji Bora wa Msim usiku wa Alhamisi katika hoteli ya Landmark, London
Comments
Post a Comment