UKATILI: BITI AJIFUNGUA KICHANGA NA KUKINYONGA KISHA KUKIZIKA


KAGERA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida Binti mmoja anayeishi mtaa wa Ntungamo Kata ya Buhembe, Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Latifa Vedasto anadaiwa kumnyonga mtoto wake aliyejifungua siku tatu zilizopita na kisha kumzika


Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi linamshikilia binti huyo mwenye umri wa miaka kumi na minane kwa uchunguzi zaidi baada ya kufukua shimo alilokuwa amezikwa kichanga huyo

Comments

Popular posts from this blog

MWANJALE AONGEZEWA SIKU NYINGIZE ZA MATIBABU

Hii hapa ratiba ya michuano yote mikubwa ya leo hii,Shirikisho,Epl,La Liga,Bundesliga na Seria A