Posts

UKWELI MCHUNGU..Kiapo cha Baraza la Mawaziri Ndio Sababu ya Ukimya wa Lowassa Kwenye Sakata la Richmond.

Image
                                                  BLOG NO 1 TANZANIA !! Lowassa yuko kimya kabisa wala hazungumzii mambo yalivyokuwa ndani ya Serikali tangu atoke kwenye Uwaziri Mkuu ambao alijiuzulu mwaka 2008. Kuna baadhi ya watu wanautafsiri ukimya wa Lowassa kama ni woga ama kukiri kwamba alishiriki kwenye “Ufisadi” wa Richmond. Lakini Lowassa alikuwa ni Waziri Mkuu na kwa kawaida Waziri Mkuu hula kiapo cha uaminifu na cha kutunza siri za Baraza la Mawaziri ambacho kipo Kisheria. Lakini pia kwa mujibu wa Katiba yetu Ibara ya 52 ambayo inataja majukumu na mipaka ya kazi za Waziri Mkuu. Waziri Mkuu anatakiwa kufanya kazi kwa kufuata maelekezo ya Rais aliyeko Madarakani. Ukisoma pia Ibara ya 35 (i) wafanyakazi wote wa serikali wanafanya kazi kwa niaba ya Rais. Jambo la Richmond kupewa Tenda ya kuleta Jenereta za Kufua Umeme lilianzia kwenye Baraza l...

‘Mbatia atimize ahadi la sivyo nitavua nguo’-Mrema

Image
                                                 BLOG NO 1 TANZANIA !!

MGOMBEA UWT AFIA GESTI, WAHUDUMU WASIMULIA MCHEZO MZIMA

Image
                                                    BLOG NO 1 TANZANIA !! Mgombea wa nafasi ya uongozi kwenye Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) ngazi ya tawi, Halima Saidi Haji.

UTAFITI: Kuangalia TV Kupita Kiasi Hupunguza Uwezo wa Kuzalisha Mbegu za Kiume

Image
                                               BLOG NO 1 TANZANIA !!   Kuangalia TV ni sehemu ya maisha ya asilimia kubwa ya watu duniani hivi sasa, lakini utafiti umeonesha kuwa wanaume wako kwenye hatari ya kupungua uwezo wa kuzalisha mbegu za kiume pale wanapotumia muda mwingi kuangalia TV. Kabla hujaanza kubisha, soma kwa makini utafiti huu. Wenzetu husema ‘no research no right to speak’. Utafiti huo ulifanywa hivi karibuni na wataalam kutoka Chuo Kikuu cha Copenhagen, umeonesha matokeo hayo baada ya kutumia sampuli ya vijana wa kiume 1,200. Utafiti huo uliochapishwa kwenye Jarida la Marekani la ‘Epidemiology’ ulionesha kuwa wanaume wanaopenda kuangalia TV (kwa saa tano na zaidi) walitoa wastani wa mbegu za kiume (sperm counts) milioni 37 kwa mililita moja, huku wale ambao hawakuwa na tabia ya kuangalia TV kabisa walitoa wastani wa mbegu za k...

Atembezwa Nusu UCHI Na Kisha Kulazimishwa Kula Kinyesi kwa Kosa la Kumtukana Mama Yake

Image
                                             BLOG NO 1 TANZANIA !!   Wanawake wa kijiji cha Kisungamile kilichopo katika Kata ya Matai wilayani Kalambo katika mkoa wa Rukwa wamemwadhibu Vitus Nyami (26) kwa kumtembeza nusu uchi na kulazimisha kula kinyesi cha ng’ombe kwa kosa la kumtukana mama yake mzazi matusi ya nguoni. Aidha wanawake hao walitumia mfuko wa ‘salphate’ kufunika sehemu za siri za kijana huyo kisha wakaanza kumtembeza mitaani kijijini  humo huku wakiimba nyimbo za kabila la Kifipa wakilaani tabia ya kijana huyo ya kumtukana mama yake mzazi matusi ya nguoni kila kukicha . Walidai kukasirishwa na tabia ya kijana huyo wa kiume kumtukana mzazi wake wa kike matusi ya nguoni, hivyo walilazimika kumfunga kamba na kumtembeza mitaani kijijini humo akiwa nusu uchi. Mwenyekiti wa kijiji cha Kisungamile, Didas Musa alikiri kutokea kwa mkasa huo ...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya April 23

Image
                                             BLOG NO 1 TANZANIA !!

Marekani: Hatuna Muda wa Ziada wa Kuvumilia Vitisho vya Korea Kaskazini

Image
                                                        BLOG NO 1 TANZANIA !! Mshauri wa Rais Donald Trump wa masuala ya usalama, Herbert Raymond McMaster amesema kuwa Marekani na China zinaelekea kupoteza uvumilivu dhidi ya Korea Kaskazini inayoendelea na vitisho vya silaha za Nyuklia. McMaster amesema makubaliano yanayojitokeza dhidi ya tabia ya vitisho vya Korea Kaskazini kwa sasa yanaijumuisha China.  Amesema kuwa kuna makubaliano ya kimataifa, ikiwemo China kuhakikisha tabia hii haiendelei, kwani kumekuwa na majaribio ya makombora ya hivi karibuni yanayoonyesha tabia ya vitisho ya Korea Kaskazini hali ambayo hawataivumilia zaidi. Amesema kuwa Rais Trump ameweka wazi kuwa Marekani na washirika wake hawatokubali kuona utawala wa vitisho dhidi ya silaha za nyuklia. Korea Kaskazini imefanya jaribio la uzinduzi wa makombora ...